WANANCHI WA TABORA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWASOGEZEA HUDUMA ZA KIBINGWA

Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora Wakazi wa Tabora na viunga vyake wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya afya kwa kuwasogezea huduma za Kibingwa na Ubingwa BobeziĀ  kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete na hivyo kuwapunguzia gharama za matibabu endapo wangepata rufaa ya kuzifuata huduma hizo nje ya mkoa huo na ukizingatia wengine ni wazee na